Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax akizungumza katika Mkutano na jumuiya ya Wafanyabiashara wa Austria jijini Vienna. |
| Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya uwekezaji Zanzibar Bw. Khamis Dunia akizungumza katika mkutano na wafanyabiashara wa Austria uliofanyika jijini Vienna tarehe 13 Juni, 2023 |
| Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya uwekezaji Zanzibar Bw. Khamis Dunia akizungumza katika mkutano na wafanyabiashara wa Austria uliofanyika jijini Vienna tarehe 13 Juni, 2023. |
Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania Bw. Gilead Teri akizungumza katika Mkutano na jumuiya ya Wafanyabiashara wa Austria uliofanyika jijini Vienna. |
|

