Rubani Kiongozi wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) Neema Swai akishuka katika ndege mpya ya mizigo aina ya Boeing 767 yenye uwezo wa kubeba Tani 54 baada ya kuwasili kutoka nchini Marekani katika viwanja vya ndege vya Kimataifa vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere leo tarehe 3/6/2023.
Ndege mpya ya mizigo aina ya Boeing 767 yenye uwezo wa kubeba Tani 54 ikipewa ya heshima ya kumwagiwa maji baada ya kuwasili katika viwanja vya ndege vya Kimataifa vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Marubani watatu, wawili kutoka Kampuni ya Boeing nchini Marekani wakiwa na Rubani Kiongozi wa Shirika la Ndege Tanzania ATCL Neema Swai katika viwanja vya ndege vya Kimataifa vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere baada ya kutua na ndege mpya ya mizigo aina ya Boeing 767 yenye uwezo wa kubeba Tani 54 (Picha Na John Bukuku na Noel Rukanuga)