Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Wahariri na Waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo,ambapo amezungumzia zaidi ile ziara yake Nchini Qatar hivi karibuni .[Picha na Ikulu] 30/05/2023.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Habari vya Serikali na Binafsi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika mazungumzo yanayohusu masuala ya ziara ya Rais Nchini Qatar hivi karibuni katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 30/05/2023.
Mwandishi wa Habari wa Azam TV hapa Zanzibar Mtumwa Said Nassir akiuliza suala wakati wa mazungumzo na Wahariri na Waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo yanayohusu masuala ya ziara ya Nchini Qatar hivi karibuni .[Picha na Ikulu] 30/05/2023.
Mwandishi wa Habari wa gazeti la Nipashe hapa Zanzibr Ndg.Rahma Suleiman akiuliza suala wakati wa mazungumzo ya Wahariri na Waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo yanayohusu masuala ya ziara ya Nchini Qatar hivi karibuni.[Picha na Ikulu] 30/05/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wahariri na Waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo,ambapo zaidi amezungumzia ziara yake Nchini Qatar hivi karibuni.[Picha na Ikulu] 30/05/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Wahariri na Waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo,ambapo zaidi amezungumzia ziara yake Nchini Qatar hivi karibuni.[Picha na Ikulu] 30/05/2023.
Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Habari vya Serikali na Binafsi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika mazungumzo yanayohusu masuala ya ziara ya Rais Nchini Qatar hivi karibuni katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 30/05/2023.
Wasaidizi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakifauatilia kwa makini mazungumzo baina ya na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Habari vya Serikali na Binafsi na Mhe.Rais, yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kuhusu ziara ya Nchini Qatar hivi karibuni.[Picha na Ikulu] 30/05/2023.