Kozi ya waamuzi na Makocha ngazi ya Taifa zimefunguliwa leo tarehe 25.5.2023 katika Ukumbi wa Manyara Park uliopo Mazese Jijini Dar es Salaaam