Atiki Ally Atiki ,Mtanzania anayesoma na kucheza Mpira wa Kikapu nchini Marekani katika Chuo Kikuu Cha Birgham Young University katika eneo la Provo,Jijini Utah,katikati ni Mkurugenzi wa Shule ya sekondari ya High View, Berng Kasika iliyoko Gongo la Mboto Jijini Dar es Salaam,Kulia ni Kocha wa Atiki Mark Pope,Atiki alisoma shule hiyo Hadi kidato Cha pili mwaka 2020 kabla ya Kuhamia Canada na Kisha Marekani.
Mkurugenzi wa Shule ya Sekondari ya High View Berng Kasika kushoto akifurahia jambo na Atiki Ally Atiki ,Mtanzania anayesoma na kucheza Mpira wa Kikapu nchini Marekani katika Chuo Kikuu Cha Brigham Young University katika eneo la Provo,Jijini Utah,katikati ni Mkurugenzi wa Shule ya sekondari ya High View, Berng Kasika iliyoko Gongo la Mboto Jijini Dar e Salaam Atiki alisoma shule hiyo hadi kidato Cha pili mwaka 2020 kabla ya Kuhamia Canada na Kisha Marekani.
Atiki Ally Atiki ,Mtanzania anayesoma na kucheza Mpira wa Kikapu nchini Marekani katika Chuo Kikuu Cha Brigham Young katika eneo la Provo,Jijini Utah,akiwa amesimama katika ya wanafunzi wa Shule ya sekondari ya High View, Gongo la Mboto Jijini Dar es Salaam baada kuzunguza nao alipotembelea shule hiyo ambayo alisoma hadi kidato Cha pili mwaka 2020 kabla ya Kuhamia Canada na Kisha Marekani.