Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Philip Mpango akikata utepe katika nyumba ya Mama Gladness Gilole iliopo
Kijiji cha Sale kuashiria kuzindua mradi wa umeme vijijini (REA) katika vijiji
mbalimbali vya Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha leo tarehe 17 Mei 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Philip Mpango akiwasha taa katika nyumba ya Mama Gladness Gilole iliopo
Kijiji cha Sale mara baada ya kuzindua mradi wa umeme vijijini (REA) katika
vijiji mbalimbali vya Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha leo tarehe 17 Mei
2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Philip Mpango akizungumza na Viongozi, Wananchi pamoja na familia ya
Mama Gladness Gilole iliopo Kijiji cha Sale mara baada ya kuzindua mradi wa
umeme vijijini (REA) katika vijiji mbalimbali vya Wilaya ya Ngorongoro mkoani
Arusha leo tarehe 17 Mei 2023.