Kaimu Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Thomas Bwana akifunga Warsha ya siku mbili ya kujadili Matokeo ya Mkutano wa 27 na Maandalizi ya Mkutano wa 28 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi leo Mei 12, 2023 jijini Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Bi. Kemilembe Mutasa.
Washiriki wakiwa katika Warsha ya siku mbili ya kujadili Matokeo ya Mkutano wa 27 na Maandalizi ya Mkutano wa 28 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi leo Mei 12, 2023 jijini Dodoma.
Mshauri wa Rais, Masuala ya Mabadiliko ya Tabianchi na Mazingira Dkt. Richard Muyungi akichangia mada wakati wa Warsha ya siku mbili ya kujadili Matokeo ya Mkutano wa 27 na Maandalizi ya Mkutano wa 28 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi leo Mei 12, 2023 jijini Dodoma.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Dkt. Ladsilaus Chang’a akiwasilisha mada wakati wa Warsha ya siku mbili ya kujadili Matokeo ya Mkutano wa 27 na Maandalizi ya Mkutano wa 28 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi leo Mei 12, 2023 jijini Dodoma.
Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Bernadetha Sinyaw akiwasalisha mada wakati wa Warsha ya siku mbili ya kujadili Matokeo ya Mkutano wa 27 na Maandalizi ya Mkutano wa 28 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi leo Mei 12, 2023 jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)