Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delilah Kimambo akimkabidhi hundi ya shilingi milioni tisa laki nane na elfu tisini na tano Mhudumu wa Afya mstaafu wa Taasisi hiyo Peter John wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wastaafu na kuwapongeza wafanyakazi hodari iliyofanyika katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delilah Kimambo akimkabidhi ngao mfanyakazi hodari wa mwaka wa fedha 2022/2023 Afisa Uuguzi Jumaa Tao wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wastaafu na kuwapongeza wafanyakazi hodari iliyofanyika katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delilah Kimambo akimkabidhi Cheti mfanyakazi hodari wa robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2022/2023 aliyeshika nafasi ya kwanza Mhasibu Adam Sembe wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wastaafu na kuwapongeza wafanyakazi hodari iliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delilah Kimambo akimkabidhi cheti mfanyakazi hodari wa robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2022/2023 aliyeshika nafasi ya pili Afisa TEHAMA Fiona Kavishe wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wastaafu na kuwapongeza wafanyakazi hodari iliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delilah Kimambo akimkabidhi cheti mfanyakazi hodari wa robo ya nne ya mwaka wa fedha 2022/2023 aliyeshika nafasi ya tatu Afisa Rasilimali Watu Umul-kher Seiff wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wastaafu na kuwapongeza wafanyakazi hodari iliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delilah Kimambo akimkabidhi cheti mfanyakazi hodari wa robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2022/2023 aliyeshika nafasi ya tatu Mfamasia Miraji Dhahiri wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wastaafu na kuwapongeza wafanyakazi hodari iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mhudumu wa Afya mstaafu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Peter John akiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Dkt. Delilah Kimambo na baadhi ya viongozi wa Menejimenti wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wastaafu na kuwapongeza wafanyakazi hodari iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delilah Kimambo akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi hodari wa robo ya tatu na robo ya nne ya mwaka wa fedha 2022/2023 wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wastaafu na kuwapongeza wafanyakazi hodari iliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam. Picha na: JKCI