Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea Ripoti ya Mwaka 2022-2023 ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Dk.Othman Abbas Ali (katikati) leo Ikulu Jijini Zanzibar katika hafla hiyo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman (kushoto).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea Ripoti ya mwaka 2022-2023 ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Dk.Othman Abbas Ali leo Ikulu Jijini Zanzibar.