Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa kituo cha unenepeshaji wa mifugo kinachojengwa katika Kijiji cha Muguda Halmashauri ya Kishapu Mkoani Shinyanga leo Mei 06, 2023 kupitia Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi kwa Kutumia Mifumo Ikolojia Vijijini (EBARR) na kuratibiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais kwa ufadhili wa Mfuko wa Mazingira wa Dunia chini ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na wananchi wakati wa ziara yake ya kukagua na kuzindua kituo cha kunenepesha mifugo, kiwanda kidogo cha bidhaa za Ngozi na kukagua lambo la kukusanyia maji katika vijiji vya Muguda na Kiloleli vilivyopo Halmashauri ya Kishapu mkoani Shinyanga leo Mei 06, 2023 kupitia Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi kwa Kutumia Mifumo Ikolojia Vijijini (EBARR) na kuratibiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais kwa ufadhili wa Mfuko wa Mazingira wa Dunia chini ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiangalia bidhaa za ngozi baada ya kuzindua kiwanda kidogo kinachozalisha bidhaa hizo katka Kijiji cha Kiloleli Halmashauri ya Kishapu mkoani Shinyanga leo Mei 06, 2023 kupitia Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi kwa Kutumia Mifumo Ikolojia Vijijini (EBARR) na kuratibiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais kwa ufadhili wa Mfuko wa Mazingira wa Dunia chini ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akipata maelezo kuhusu shughuli za uzalishaji wa bidhaa za ngozi baada kuzindua kiwanda kidogo cha bidhaa hizo kilichopo katika Kijiji cha Kiloleli Halmashauri ya Kishapu mkoani Shinyanga leo Mei 06, 2023 ambacho kimejengwa kupitia Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi kwa Kutumia Mifumo Ikolojia Vijijini (EBARR) na kuratibiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais kwa ufadhili wa Mfuko wa Mazingira wa Dunia chini ya
Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akipanda mti katika Kijiji cha Muguda Halmashauri ya Kishapu mkoani Shinyanga mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa kituo cha kunenepeshea mifugo ambacho kinajengwa chini ya Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi kwa Kutumia Mifumo Ikolojia Vijijini (EBARR)
unaoratibiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais kwa ufadhili wa Mfuko wa Mazingira wa Dunia chini ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP).(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)