Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Michael Battle,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa ajili ya Mazungumzo.[Picha na Ikulu] 02/05/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Michael Mattle,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa na ujumbe wake (hawapo pichani).[Picha na Ikulu] 02/05/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Michael Battle (wa tatu kushto) akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo .[Picha na Ikulu] 02/05/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Michael Mattle,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo wakati wa mazungumzo akiwa na ujumbe wake (hawapo pichani).[Picha na Ikulu] 02/05/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika picha na Mgeni wake Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Michael Mattle,alipofika kujitambulisha Ikulu Jijini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao.[Picha na Ikulu] 02/05/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akifuatana na Mgeni wake Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Michael Mattle,aliyefika Ikulu Jijini Zanzibar leo kujitambulisha na mazungumzo ya pamoja.[Picha na Ikulu] 02/05/2023.