RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Boti Mpya ya Kampuni ya Azam Marine ya Kilimanjaro VIII “Falcon of the Sea” uzinduzi huo uliofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 24-4-2023.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono na kuwasalimia Wananchi katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Boti Mpya ya Kampuni ya Azam Marine ya Kilimanjaro VIII “Falcon of the Sea” (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Znzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Azam Marine Bw. Abubakar Azizi Salim na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Azam Marine Bw.Mohammed Said Bakhressa.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla baada ya kuwasili katika Bandari ya Malindi Unguja na Boti ya Kilimanjaro VIII “Falcon of the Sea” baada ya kuizindua Boti hiyo leo katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Azam Marine Bw.Abubakar Azizi Salim akiwa katika chumba cha kuongozea boti hiyo na kupata maelezo ya Kitaalum ya Boti ya Kilimanjaro VIII “Falcon of the Sea” baada ya kuizindua na kutembelea boti hiyo leo 24-4-2023(Picha na Ikulu).
WAGENI waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Boti Mpya ya Kampuni ya Azam Marine ya Kilimanjaro VIII “Falcon of the Sea “ uliyofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 24-4-2023, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuizindua boti hiyo leo .(Picha na Ikulu)