Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi Mkurugenzi wa Kijiji cha SOS Mombasa,Wilaya ya magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi Bi.Asha Salim Ali,alipofika katika kituo hicho alipowatembelea Watoto kuwapatia zawadi mbali mbali katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el fitri jana.[Picha na Ikulu] 22/04/2023.
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi (katikati) akiwa katika picha na Watoto wa Kituo cha Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi,alipofika katika kituo hicho jana kuwatembelea Watoto hao na kuwapatia zawadi mbali mbali katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el fitri .[Picha na Ikulu] 22/04/2023.
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi (kulia) akisalimiana na Viongozi katika Kituo cha Watoto cha Zaso Kwarara Wilaya ya Magharibi “B” alipofika kutoa zawadi mbali mbali kwa Watoto wanaoishi kituoni hapo jana,katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el fitri (katikati) Mkurugenzi ZASO Ndg.Abdu Maulid Haji.[Picha na Ikulu] 22/04/2023.
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi (kulia) akigawa zawadi Watoto wa Kituo cha Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi,alipofika katika kituo hicho jana kuwatembelea Watoto hao na kuwapatia zawadi mbali mbali katika kusherehekea Sikukuu ya Eid el fitri .[Picha na Ikulu] 22/04/2023.