Mbunge wa Jimbo La Dodoma Mh. Anthony Mavunde leo amesheherekea sikukuu ya Idd El Fitr kwa kuandaa chakula cha mchana katika eneo la Barabara ya Sita kata ya madukani na kushiriki katika chakula hilo na viongozi mbalimbali,wafanyabiashara wa simu,bodaboda pamoja na makundi maalum ya wanajamii wakiwemo watoto wa mtaani na wale wanaoishi katika mazingira magumu.