RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia baada ya kumalizika kwa Fainali za Mashindano ya kusoma Qur-an Tartiil Zanzibar, zilizofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 19-4-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Mashindano ya Fainali ya kusoma Qur-an Tartiil Zanzibar, yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 19-4-2023, na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman.(Picha na Ikulu)
WASHIRIKI wa Fainali ya Mashindano ya Kusoma Qur-an Tartiil, wakiwa katika ukumbi kabla ya kuaza kwa mashindano hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, yaliyodhaminiwa na Benki ya Watu wa Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi ufungo wa gari aina ya Toyota Alphard mshindi wa kwanza wa Fainali ya Mashindano ya Kusoma Qur-an Tartiil Zanzibar. Mwanafunzi. Said Ali Juma, baada ya kuibuka mshinda katika mashindano hayo ya fainali yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 19-4-2023. Na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Huduma za Kibenki PBZ Ndg. Said Mohammed Said.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi ufungo wa Pikipiki (Bodaboda)mshindi wa Pili wa Fainali ya Mashindano ya Kusoma Qur-an Tartiil Zanzibar. Mwanafunzi. Nassor Hamad Kombo, baada ya kuibuka mshinda katika mashindano hayo ya fainali yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 19-4-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki wa Fainali za Mashindano ya kusoma Qur-an Tartiil Zanzibar waliosima nyuma, baada ya kumalizika kwa mashindano hayo ya fainali yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 19-4-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia baada ya kumalizika kwa Fainali za Mashindano ya kusoma Qur-an Tartiil Zanzibar, zilizofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 19-4-2023.(Picha na Ikulu)