Rais Mstaafu wa Msumbiji Mzee Joachim Chisano akikabidhi tuzo kwa Zainab Ali Mabrouk kutoka Tanga mshindi wa tatu uandishi wa Riwaya inayoitwa “Nimelichungulia Kaburi” katika uandishi Bunifu kwenye hafla ya kwanza ya utoaji wa tuzo ya Taifa Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu iliyofanyika kwenye Hoteli ya Rotana Posta Jijini Dar es Salaam Alhamisi Aprili 13,2023. katikati ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda.
(PICHA NA JOHN BUKUKU)
Rais Mstaafu wa Msumbiji Mzee Joachim Chisano akikabidhi tuzo kwa Dickson Damas Mtalaze kutoka Dar es Salaam mshindi wa pili uandishi wa Riwaya inayoitwa “Kigodoro Kimeniponza” katika uandishi Bunifu kwenye hafla ya kwanza ya utoaji wa tuzo ya Taifa Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu iliyofanyika kwenye Hoteli ya Rotana Posta Jijini Dar es Salaam Alhamisi Aprili 13,2023. katikati ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda.
Rais Mstaafu wa Msumbiji Mzee Joachim Chisano akizungumza kwenye hafla ya kwanza ya utoaji wa tuzo ya Taifa Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu iliyofanyika kwenye Hoteli ya Rotana Posta Jijini Dar es Salaam Alhamisi Aprili 13,2023.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda akizungumza kwenye hafla ya kwanza ya utoaji wa tuzo ya Taifa Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu iliyofanyika kwenye Hoteli ya Rotana Posta Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Aprili 13,2023.
Mwandishi wa Vitabu Walter Bgoya katikati na Mkuki Bgoya wakifuatilia hotuba katika hafla hiyo.
Mkuu wa wilaya ya Ilala Mh. Edward Mpogolo aliyeketi kulia ni miongozi mwa wageni waliofika katika hafla hiyo.
Wageni waaikwa wakiwa kwenye hafla ya kwanza ya utoaji wa tuzo ya Taifa Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu iliyofanyika kwenye Hoteli ya Rotana Posta Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Aprili 13,2023.
Rais Mstaafu wa Msumbiji Mze Joachim Chisano akiwasili akiongozana na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda katika hafla ya kwanza ya utoaji wa tuzo ya Taifa Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu iliyofanyika kwenye Hoteli ya Rotana Posta Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Aprili 13,2023 kulia ni Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mhe.Ricardo Amrosio Mtumbuida.
Rais Mstaafu wa Msumbiji Mze Joachim Chisano akisalimiana na Mwandishi wa vitabu Richard Mabala kwenye hafla ya kwanza ya utoaji wa tuzo ya Taifa Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu iliyofanyika kwenye Hoteli ya Rotana Posta Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Aprili 13,2023.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla ya kwanza ya utoaji wa tuzo ya Taifa Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu
Rais Mstaafu wa Msumbiji Mze Joachim Chisano akiwa pamoja na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda wakiimba wimbo wa taifa kwenye hafla ya kwanza ya utoaji wa tuzo ya Taifa Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu iliyofanyika kwenye Hoteli ya Rotana Posta Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Aprili 13,2023.
Mwamndishi wa Vitabu Richard Mabala kulia akiwa na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Prof. Issa Shivji wakati wa hafla ya kwanza ya utoaji wa tuzo ya Taifa Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu iliyofanyika kwenye Hoteli ya Rotana Posta Jijini Dar es Salaam.
Mbunge wa jimbo la Ubungo Mh. Prof. Kitila Mkumbo akizungumza katika hafla ya kwanza ya utoaji wa tuzo ya Taifa Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu inayofanyika kwenye hoteli ya Rotana jijini Dar es Salaam.
Mwandishi wa Vitabu Maarufa nchini Bw. Adam Shafii akizungumza katika hafla ya kwanza ya utoaji wa tuzo ya Taifa Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu
Wazungumzaji wa mada katika hafla hiyo wakiendelea kuwasili mada zao.