WASHIRIKI wa Mashindano ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akizungumza wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad Kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, yaliyoandaliwa na Taasisi Majlisil Quran Zanzibar(Picha na Ikulu)/
JAJI Kiongozi wa Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar akitowa maelezo kwa washiriki wa mashindano hayo kabla ya kuaza, yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, yaliyoandaliwa na Taasisi ya Majlisil Quran Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MSHIRIKI wa Mashindano ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar.Ustadh Hamad Juma Salum, akishiriki katika mashindano hayo na kuibuka mshindi wa kwanza, yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, yaliyoandaliwa na Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakifuatilia Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar, yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, yaliyoandaliwa na Taasisi ya Majlisil Quran Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar, wakati washiriki wa mashindano hayo wakisoma Quran, mashindano hayo yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzxibar na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar Sheikh.Said Nassor Said.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum ya kuthamini mchango wake katika mashindano ya Quran Zanzibar, akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar Sheikh. Said Nassor Said, wakati wa Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar, yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum ya kuthamini mchango wake katika mashindano ya Quran Zanzibar, akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar Sheikh. Said Nassor Said, wakati wa Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar, yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Imamu Mkuu wa Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Sheikh.Othman Maalim.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Masjid Noor Muhammed kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kualizika kwa Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad yaliyoandaliwa na Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar , yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar Sheikh. Said Nassor Said na Imamu Mkuu wa Masjid Noor Muhammad Sheikh.Othman Maalim.(Picha na Ikulu)