Tunakushukuru ndugu yetu Emmanuel Mbatiro kwa ushirikiano wako kama mdau wetu muhimu wa Fullshangweblog wakati wote na sasa tunakutakia kila lakheri wakati utakapokuwa akiendelea na shughuli zake Zingine kwa kuwa hatutakuwa naye tena.Karibu tena na tena wakati mwingine
Kwa jambo lolote la kikazi wasiliana nasi kwa namba zilizopo kwenye mtandao wetu.
By John Bukuku.