Balozi wa Uholanzi hapa nchini, Mh.Wiebe De Boer,(katikati) akiongea wakati wa uzinduzi wa programu hii.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2023/03/Screenshot_20230312-124635.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2023/03/Screenshot_20230312-124646.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2023/03/Screenshot_20230312-124657.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2023/03/Screenshot_20230312-124707.jpg)
………………………………..
waweze kuajirika kwa haraka kutokana na ujuzi,”
“Kampuni toka Uholanzi zitashirikiana na sisi kuleta wataalam wae na kuja kufundisha wanafunzi wetu na ukiangalia hapa tuna mafunzo ya ‘irrigation engineering’, ambayo inaangalia miundombinu mizima ya umwagiliaji na inatumia teknolojia kubwa tunaamini tutafanya vizuri zaidi,” alisema.
Naye Kaimu Mkuu wa Chuo cha Tengeru, Fahimia Amiri ,ambao nao watanufaika na programu hiyo alisema wanatarajia wanafunzi zaidi ya 100 kunufaika na programu hiyo.
“Tunaimani itasaidia kupunguza ule uwiano ambao ulikuwa haupi kati ya mafunzo ya darasani na maisha halisi ya kazi hasa ukizingatia tutashirikiana na wadau hawa na sekta binafsi,itasaidia wanafunzi kujifunza kwa vitendo nini mahitaji ya soko,”aliongeza.