2022
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
“CHOTA MIHELA” UJISHINDIE MILIONI 5 NA WASAFI FM
Nelly Kisanga Mkurugenzi wa vipindi wa Wasafi Media akizungumza leo kwenye hoteli ya Serena wakati walipotambulisha kampeni mpya ya “Chota Mihela” ambayo wananchi…
DK. PHILIP MPANGO: TANZANIA INAUNGA MKONO NA KUAMINI TAFITI KATIKA KUKABILIANA NA MARADHI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na washiriki wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 31 wa…
RUZUKU YA MBOLEA KUTOLEWA MSIMU UJAO WA KILIMO 2022/2023
********************** -Wafanyabiashara kusajiliwa na TFRA kwenye mfumo maalum wa ruzuku Imeelezwa kuwa serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 150 kwa ajili ya…
JESHI LA POLISI IRINGA LINAMSHIKIRIA NGUVU CHENGULA KWA TUHUMA ZA KUMSHAMBULIA NA KUMJERUHI MKAZI WA MANISPAA YA IRINGA KWA KUTUMIA KITAKO CHA BASTOLA
Kamanda wa polisi mkoani Iringa ACP Allan Bukumbi akionyesha baadhi ya vitu ambavyo vimekamtwa kwenye uhalifu uliofanyika katika baadhi ya wananchi wa mkoa wa…
DKT.KIKWETE AWAASA WAZAZI PWANI KUTHAMINI ELIMU KWA WATOTO
************************** Na Mwamvua Mwinyi ,Pwani Rais Mstaafu Awamu ya nne, dkt.Jakaya Kikwete amewaasa wazazi na walezi Mkoani Pwani, kushikilia na kuthamini elimu kwa watoto…
BALOZI MULAMULA ATETA NA UJUMBE WA WAFANYABIASHARA SWITZERLAND
Na Mwandishi Wetu, Dar Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) amekutana kwa mazungumzo na Ujumbe wa…
BENKI YA NMB YASHIRIKI NA KUDHAMINI WIKI YA UBUNIFU DODOMA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ameishukuru Benki ya NMB kwa kushiriki na kudhamini maonesho ya Kitaifa ya wiki ya ubunifu…
RPC LUTUMO AKEMEA WIZI WA MIFUGO AINA YA NG’OMBE MKOANI PWANI
*************************** Na Mwamvua Mwinyi,Pwani JESHI la polisi Mkoani Pwani ,limekamata Watuhumiwa 54 kwa makosa mbalimbali yakiwemo ya wizi wa mifugo aina ya ng’ombe. Kamanda…
RAIS SAMIA AIAGIZA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI KUZINGATIA MASHARTI YA MIKATABA KATIKA UJENZI WA BARABARA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi katika Sherehe za ufunguzi wa barabara…