2022
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
DKT. CHAULA AKUTANA NA MWAKILISHI MKAAZI WA UN
Na WMJJWM- Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula amekutana na Mwakilishi Mkaazi wa Umoja…
JAMII YATAKIWA KUELEWA KAZI ZA UBAHARIA KWA WANAWAKE NI FURSA
Wanachama wa WOMESA TANZANIA wakiwa kwenye maandamano katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake wanaofanya kazi katika bahari ambapo Tanzania huadhimisha Mwezi Mei…
RC SOPHIA MJEMA AZINDUA CHANJO YA UGONJWA WA KUPOOZA ‘POLIO’ MKOA WA SHINYANGA
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema akimpa mtoto matone ya Chanjo ya kuzuia ugonjwa wa kupooza (Polio) wakati wa uzinduzi wa…
MAKUMBUSHO YA TAIFA YA VIUMBE ARUSHA YATOA ELIMU KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA MAKUMBUSHO KITAIFA DUNIANI
Mkurugenzi Mtendaji wa Makumbusho ya Viumbe Arusha, Dk. Christine Ngereza akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika maadhimisho ya Siku ya Makumbusho…
COPASSION MTI MMOJA YAGAWA MAGODORO 118 KWA WAJAWAZITO NA WATOTO WANOISHI MAZINGIRA MAGUMU
Na John Walter-Monduli Kituo cha Huduma ya mtoto na kijana kupitia shirika la Compassion Tanzania katika klasta ya Mti mmoja wilayani Monduli mkoani Arusha,…
SIMBA YASHINDWA KUNG’ARA CHAMAZI,YATOKA SARE NA AZAM FC
Na Alex Sonna MABINGWA Watetezi Simba wameshindwa kutamba ugenini dhidi ya Azam FC baada ya kutoka sare ya kufungana bao 1-1 mchezo wa Ligi…
CRDB KUONDOA MIKOPO CHEFUCHEFU
………………………………………………….. Happy Lazaro,Arusha. Arusha.Katika kuelekea mkutano mkuu wa 27 wa wanahisa Taasisi ya fedha ya CRDB benki imefanikiwa kupunguza asilimia sita ya mikopo chechefu…
WUSM MILANGO IPO WAZI–KAIMU KATIBU MKUU JANABI
Adeladius Makwega-WUSM Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini ndugu Haji Janabi amesema kuwa milango ya wizara hii ipo wazi kwa…
DKT NCHEMBA NA WADAU WA MPIRA WA MIGUU WAJADILI MAENDELEO YA SOKA NCHINI
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, akizungumza wakati wa kikao na viongozi wa vilabu vya michezo nchini, mkutano huo ulifanyika katika…