2022
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
KATIBU MKUU NZUNDA AKABIDHI MAGARI MAWILI KWA VITUO VYA WAKALA YA MAABARA YA VETERINARI TANZANIA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Bw. Tixon Nzunda akikata utepele kuzindua na kukabidhi magari mawili kwenye vituo viwili vya Wakala ya…
RC SINGIDA ANGOZA KAMPENI YA SIKU NNE YA CHANJO YA MATONE YA POLIO KWA WATOTO
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk.Binilith Mahenge akizungumza na wananchi wa Iguguno wilayani Mkalama wakati alipoongoza uzinduzi wa kampeni ya chanjo ya polio uliofanyika…
JAJI MKUU AIAGIZA IJA KUJIELEKEZA KWENYE PROGRAMU ZENYE TEHAMA NDANI YAKE
Na Mary Gwera, Mahakama-Lushoto Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amekitaka Chuo cha Uongozi wa Mahakama (IJA) Lushoto kuangalia uwezekano…
‘SENSA YA WATU KUSAIDIA MAHAKAMA KUPANGA UPYA MPANGO WA UJENZI WA MIUNDOMBINU’
Na. Faustine Kapama, Mahakama, Tanga. Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amesema sensa ya watu na anuani za makazi inayoratibiwa…
KIST WAPEWA MAFUNZO YA SHERIA ZA UTUMISHI WA UMMA.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), Dkt, Mahmoud Abdulwahab akizungumza jambo katika Mafunzo ya Sheria za Utumishi wa Umma…
RAIS SAMIA AMETOA KIPAUMBELE CHA AJIRA KWA WENYE ULEMAVU-MAJALIWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali bungeni jijini Dodoma, Mei 19, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) ************************ WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema…
SHAKA ATINGA KIJIWE CHA KAHAWA, VIJANA WAMWELEZEA RAIS ANAVYOUPIGA MWINGI
Na Mwandishi Wetu, Tabora Katibu wa NEC ya CCM, Itikadi na Uuenezi, Shaka Hamdu Shaka ametembelea maskani iitwayo Lumbesa, inayoundwa na waendesha maguta na…
DKT. GWAJIMA, MASAUNI “PANYA ROAD” KAENI CHONJO SERIKALI IPO KAZINI
Kutoka Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Emmanuel Ludigija, Waziri wa Mambo ya Ndani Hamadi Masauni, Waziri Dkt. Dorothy Gwajima na Kamanda wa…
SOMO LA TEHEMA LIMERAHISISHA UTOAJI WA ELIMU – MASHULENI KUPITIA MEWAKA
Asila Twaha, Urambo Serikali inatambua umuhimu wa somo la TEHAMA katika Sekta ya Elimu hasa kwa kutumia kama nyenzo ya kuongeza maarifa na ujuzi…