Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto) alipokuwa akisalimiana na Viongozi alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul-Wakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar leo kufungua Kongamano la Asasi za kiraia la Kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa kutimiza miaka miwili ya Uongozi wake. [Picha na Ikulu.] 19/11/2022.Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatana na Mrajis wa Asasi za Kiraia Zanzibar (NGOs) Ndg.Ahmed Khalid Abdalla kabla ya kuingia katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul-Wakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar leo kufungua Kongamano la Asasi za kiraia la Kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa kutimiza miaka miwili ya Uongozi wake.[Picha na Ikulu.] 19/11/2022.Wajumbe wa Kongamano la Asasi za kiraia la Kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa kutimiza miaka miwili ya Uongozi wake,walipokuwa wakimkaribisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) mara alipoingia katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul-Wakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar leo kufungua Kongamano hilo.[Picha na Ikulu.] 19/11/2022.Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi alipokuwa akifungua Mkutano wa Kongamano la Asasi za kiraia la Kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa kutimiza miaka miwili ya Uongozi wake,liliofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul-Wakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu.] 19/11/2022.Wajumbe wakifuatalia kwa makini hotuba iliyotolewa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) katika ufunguzi wa Mkutano wa Kongamano la Asasi za kiraia la Kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa kutimiza miaka miwili ya Uongozi wake,liliofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul-Wakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu.] 19/11/2022.