Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Sukari ya Kilombero, Guy Williams (kushoto) akikabidhi tuzo kwa mwakilishi kutoka Halotel wakati wa hafla yaTuzo za Consumer Choice Africa.
Timu ya mauzo kutoka Kampuni ya Sukari ya Kilombero (KSCL) wakionyesha bidhaa za Bwana Sukari katika hafla hiyo.
Mkuuwa idara ya Mahusiano wa Kampuni ya Sukariya Kilombero, Ephraim Mafuru akijiandaa kukabidhi tuzo kwa baadhi ya washindi katika hafla hiyo.
Naibu Waziri waViwanda na Biashara, Mhe. Exaud S. Kigahe (wa pilikushoto) akikabidhi cheti cha shukrani (Certificate of Appreciation kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Sukari ya Kilombero, Guy Williams (wa pili kulia) kwa kwa udhamini wao waTuzo za Consumer Choice Africa zilizofanyika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Sukari ya Kilombero, Guy Williams akitangaza washindi katika baadhi ya vipengele kwenye hafla yaTuzo za Consumer Choice Africa