************
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt.Pindi Chana, leo tarehe 19 Oktoba, 2022 Jijini Dodoma,amekutana na Menenjinenti ya Wizara na Wakuu wa Taasisi za Uhifadhi za Wizara ya Maliasili na Utalii kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Uhifadhu na uendelezaji wa Utalii nchini.