Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Madini la Taifa STAMICO Meja Jenerali Michael Isamuhyo katikati akijadiliana jambo na Makamu Mwenyekiti wa Bodi hiyo Lucas Selelii na Mkurugenzi Mkuu wa STAMICO Dkt. Venance Mwase wakati alipotembelea Maonesho ya Tano ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika Mkoani Geita katika viwanja vya EPZ Bombambili.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Madini la Taifa STAMICO Meja Jenerali Michael Isamuhyo katikati akijadiliana jambo na Makamu Mwenyekiti wa Bodi hiyo Lucas Selelii na Mkurugenzi Mkuu wa STAMICO Dkt. Venance Mwase wakati alipotembelea Maonesho ya Tano ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika Mkoani Geita katika viwanja vya EPZ Bombambili kulia ni Bw. Deusdedith Magala Mkurugenzi wa Utawala STAMICO.
Bw. Deusdedith Magala Mkurugenzi wa Utawala STAMICO akijadiliana njambo na Afisa Masoko na Uhusiano STAMICO Bi Bibiana Ndumbaro kuhusu wakiwa katika banda linaloelezea bidhaa ya Mkaa mbadala unaotengenezwa kwa Makaa ya Mawe kushoto ni Tiberio Kaduma ktoka Idara ya wachimbaji wadogo STAMICO.
Mkurugenzi Mkuu wa STAMICO Dkt. Venance Mwase akisalimiana na Meneja Mkuu wa Mgodi wa Backreef Gold Company Bw Mhandisi Gaston Mjwahuzi.
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Backreef Gold Company Bw Mhandisi Gaston Mjwahuzi akitoa maelezo kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Madini la Taifa STAMICO Meja Jenerali Michael Isamuhyo wakati alipotembelea katika banda la Backreef Gold Company.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Madini la Taifa STAMICO Meja Jenerali Michael Isamuhyo akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa STAMICO Dkt. Venance Mwase wakati akitembelea mabanda mbalimbali katika maonesho hayo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Madini la Taifa STAMICO Meja Jenerali Michael Isamuhyo akitembelea katika banda la GGM.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Madini la Taifa STAMICO Meja Jenerali Michael Isamuhyo na Makamu Mwenyekiti wa Bodi hiyo Lucas Selelii wakijadiliana jambo na Simon Shayo Makamu wa Rais wa Kampuni ya GGM wakati alipotembelea katika banda la kampuni hyo kwenye maonesho ya madini mkoani Geita.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Madini la Taifa STAMICO Meja Jenerali Michael Isamuhyo na Makamu Mwenyekiti wa Bodi hiyo Lucas Selelii wakiwa katika banda la TEITI.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Madini la Taifa STAMICO Meja Jenerali Michael Isamuhyo akipata maelezo kuhusu mtambo wa kisasa wa kuchoronga na kufanya utafiti wa madini unaomilikiwa na STAMICO.
Picha ya pamoja.