Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Dkt. George Fasha Kaimu Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa Umma Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maboresho ya bandari iliyofanyika na inayoendelea kufanyika ukanda wa bahari ya hindi kuanzia Tanga Dar es Salaam na Mtwara na Maziwa makuu Kyela , Mwanza na Kigoma wakati alipotembelea kwenye banda la mamlaka hiyo katika maonesho yanayofanyika kwenye ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kando ya mkutano wa Wafanyabiashara wanawake Barani Afrika ulioandaliwa na Sekretarieti ya Eneo huru la biashara Afrika (AfCTA)
Dkt. George Fasha Kaimu Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa Umma Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) akifafanua jambo wakati akitoa maelezo kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maboresho ya bandari iliyofanyika na inayoendelea kufanyika ukanda wa bahari ya hindi kuanzia Tanga Dar es Salaam na Mtwara na Maziwa makuu Kyela , Mwanza na Kigoma katika maonesho yanayofanyika ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kando ya mkutano wa Wafanyabiashara wanawake Barani Afrika ulioandaliwa na Sekretarieti ya Eneo huru la biashara Afrika (AfCTA)
Dkt. George Fasha Kaimu Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa Umma Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) akiwa katika picha ya pamoja na Omary Khalid Afisa Masoko TPA, Marietha Kileo Afisa Masoko TPA na Grory Kisanga Afisa Masoko TPA wakiwa kwenye banda lao katika maonesho yanayofanyika ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kando ya mkutano wa Wafanyabiashara wanawake Barani Afrika ulioandaliwa na Sekretarieti ya Eneo huru la biashara Afrika (AfCTA)