Wamkele Mene Katibu Mkuu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika akisalimiana na Waziri wa Viwanda, Uwekezaji na Biashara Dk. Ashatu Kijaji mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa JNIA Leo mchana Kwa ajili ya kuhudhurua mkutano wa wanawake wafanyabiashara iuakayofayika kwenye ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kuanzia Septemba 12,2022.
Wamkele Mene Katibu Mkuu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika akizungumza na Waziri wa Viwanda, Uwekezaji na Biashara Dk. Ashatu Kijaji mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa JNIA Leo mchana Kwa ajili ya kuhudhurua mkutano wa wanawake wafanyabiashara iuakayofayika kwenye ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kuanzia Septemba 12,2022.
Wamkele Mene Katibu Mkuu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika akimsikiliza Waziri wa Viwanda, Uwekezaji na Biashara Dk. Ashatu Kijaji wakati akizungumza kuhusu mkutano wa wanawake wafanyabiashara iuakayofayika kwenye ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kuanzia Septemba 12,2022.
Wamkele Mene Katibu Mkuu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa JNIA Leo mchana Kwa ajili ya kuhudhurua mkutano wa wanawake wafanyabiashara iuakayofayika kwenye ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kuanzia Septemba 12,2022 kulia ni Waziri wa Viwanda, Uwekezaji na Biashara Dk. Ashatu Kijaji.
Wamkele Mene Katibu Mkuu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa JNIA Leo mchana Kwa ajili ya kuhudhurua mkutano wa wanawake wafanyabiashara iuakayofayika kwenye ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kuanzia Septemba 12,2022
Baadhi ya maofisa Kutoka Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika wakiwa Katika mkutano huo.
…………………………………
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa kwanza wa nchi wanachama wa mataifa 55 ya Afrika katika mkutano wa eneo huru la Biashara la Afrika.
Hayo yameelewa Leo Jijini Dar es salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari Waziri wa viwanda na Biashara DKT Ashatu kijaji juu ya uwepo wa mkutano wenye dhumuni la kuibua fursa mbalimbali Kwa wafanyabiashara wanawake na vijana barani Afrika.
Dk kijaji amesema mkutamo huo ambao utaanza September 12 mpaka 14 mwaka huu ambapo utawakutanisha wanawake na vijana wafanyabiashara Kwa Lengo la kubadilishana uzoefu na njia mbalimbali za kibiqshara wanazoweza kukutana nazo katika kukabiliana na changamoto kwenye Biashara barani Afrika.
Mkutano huo umeambatana na kauli mbiu isemayo” wanawake na vijana:injini ya Biashara ya AFCFTA barani Afrika.”