Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Mamlaka ya Uhifadhi wa Wanyamapori Tanzania TAWA Meja Jenerali Hamisi Semfuko akizungumza na wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari katika pori la akiba la Pande walipotembelea katika pori hilo ili kuona shughuli mbalimbali za uhifadhi zinazofanywa na TAWA kutoka kushoto ni Mjumbe wa Bodi hiyo Jane Mihanji, Kaimu Kamishna wa Uhifadhi TAWA Mabula Misungwi Nyanda na kulia ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania TEF Bw. Deodatus Balile.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Mamlaka ya Uhifadhi wa Wanyamapori Tanzania TAWA Meja Jenerali Hamisi Semfuko akimsikiliza Kaimu Kamishna wa Uhifadhi TAWA Mabula Misungwi Nyanda wakati akizungumza na wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari katika pori la akiba la Pande walipotembelea katika pori hilo ili kuona shughuli mbalimbali za uhifadhi zinazofanywa na TAWA kutoka kushoto ni Mjumbe wa Bodi hiyo Jane Mihanji na kulia ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania TEF Bw. Deodatus Balile.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania TEF Bw. Deodatus Balile akizungumza katika kikao hicho.
Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Jukwaa la Wahariri Tanzania TEF Bw. Neville Meena akifafanua jambo katika kikao hicho.
Picha ya pamoja
Baadhi ya wahifadhi wakiwa katika kikao hicho.
Picha zikionesha wahariri mbalimbali wakifuatilia uwasilishaji wa mada katika kikao hicho.
Mhifadhi Noti Mgaya akitoa maelezo kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Mamlaka ya Uhifadhi wa Wanyamapori Tanzania TAWA Meja Jenerali Hamisi Semfuko, Viongozi na wahifadhi mbalimbali wa TAWA pamoja na wahariri wa vyombo vya habari wakati walipotembelea pori la akiba la Pande Mabwepande jijini Dar es Salaam
Vick Kamata Mkuu wa KItengo cha Uhusiano Mamlaka ya Uhifadhi wa Wanyamapori Tanzania TAWA akiwakaribisha wahariri kutoka vyombo mbalimbali katika pori la akiba la Pande Mabwepande wakati walipotembelea pori hilo ili kujifunza na kupata uelewa wa shughulimbalimbali za Mamlaka hiyo katika uhifadhi.
……………………………………………