RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua mlango na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmajid Mussa Nsekela kuashiria kulifungua Tawi la Benki ya CRDB Wete Pemba na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, ufunguzi huo uliofanyika leo 25-7-2022, Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakati wa ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kulifungua Tawi la Benki ya CRDB Wete Pemba Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba na (kushoto kwa Rais ) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmajid Mussa Nsekela na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, ufunguzi huo wa Tawi la Benki ya( CRDB) uliofanyika leo 25-7-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kulifungua Tawi la Benki ya CRDB Wete Pemba Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba na (kushoto kwa Rais ) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmajid Mussa Nsekela na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Dkt. Saada Mkuya na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, ufunguzi huo wa Tawi la Benki ya( CRDB) uliofanyika leo 25-7-2022.(Picha na Ikulu)