|
Balozi wa Tanzania nchini Austria, Mhe. Celestine Mushy akiwa katika kikao na uongozi wa Hospitali na Chuo Kikuu cha Tiba cha Vienna ambapo wamekubaliana kuandaa Hati ya Makubaliano (MoU) ya kuanzisha ushirikino na Hospitali ya Benjamin Mkapa ya jijini Dodoma.
|
|
Balozi wa Tanzania nchini Austria, Mhe. Celestine Mushy |
akiwa na baadhi ya viongozi wa Hospitali na Chuo Kikuu cha Tiba cha Vienna baada ya kikao chao walichokubaliana kuandaa Hati ya Makubaliano (MoU) ya kuanzisha ushirikino na Hospitali ya Benjamin Mkapa ya jijini Dodoma.
|
Balozi wa Tanzania nchini Austria, Mhe. Celestine Mushy akiwa na baadhi ya madaktari wa
Hospitali na Chuo Kikuu cha Tiba cha Vienna. Hospitali hiyo imekubali kuanzisha ushirikino na Hospitali ya Benjamin Mkapa ya jijini Dodoma.
|
|
Balozi wa Tanzania nchini Austria, Mhe. Celestine Mushy akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania wanaoishi nchini Ausrtia baada ya kufanya nao mkutano wa kujadili mustakabali wao. katika mkutano huo Watanzania hao walianzisha umoja wao na kuchagua viongozi wa umoja huo utakaoitwa Tanzania Diaspora in Austria (TADA) |
|
Balozi wa Tanzania nchini Austria, Mhe. Celestine Mushy (tai nyekundu) akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Umoja wa Watanzania wanaoishi Austria mara baada ya kuanzisha umoja huo na kuchagua viongozi wake. |