Na John Mapepele.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe, Samia Suluhu Hassan ametoa
vifaa vya michezo kwa timu zote 45 zinazoshiriki mashindano ya kombe la
Yamleyamle Zanzibar ili timu ziweze kufanya vizuri hatimaye kuwapata
wachezaji bora na wenye vipaji ambao wataunganishwa kwenye timu ya
Taifa.

Kauli
hiyo imetolewa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Mohamed
Mchengerwa, Julai 3, 2022 wakati akizindua mashindano hayo yanayofanyika
kwenye Uwanja wa Amani Zanzibar ambapo amesema Mhe. Rais ametoa mipira
45 kwa ajili ya timu hizo na jezi.

“Niwaombe
tunapojipanga kwenda kuandaa mashindano ya AFCON, tuleteeni orodha
ya vijana wanaofanya vizuri tutahakikisha tunawaingiza kwenye time zetu
za taifa, tutawaendeleza, tutakuza vipaji vyao kwa maslahi ya Serikali
zote mbili SMT na SMZ”. Amesisitiza Mhe, Mchengerwa.

Amewapongeza
kwa kuandaa mashindano hayo ambapo amefafanua kwamba dhamira ya
Serikali ni kuhakikisha kuwa inaandaa mashindano ya AFCON 2027 na
kusisitiza kuwa inawezekana iwapo kila mdau atachukua wajibu wake.

Aidha,
amefafanua kuwa eneo la soka ndilo eneo pekee ambalo linaweza
kuwaunganisha watanzania wote bila kujali itikadi ya dini zao, rangi
wala makabila yao.

|