Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 29 Juni 2022  akifanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Singapore Mheshimiwa Dkt. Vivian Balakrishnan, mazungumzo yaliofanyika L      isbon nchini Ureno yaliolenga kuongeza ushirikiano baina ya mataifa hayo mawili hususani katika sekta ya usafirishaji wa majini, biashara pamoja bandari.