Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akiwa na makabrasha ya mkutano akilekea kwenye Kiti cha Tanzania kwa ajili ya kushiiki mkutano wa Mawaziri wa sJumuiya ya Madola unaofanyika nchini Rwanda. |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akihojiwa na mwandishi wa Kituo cha Runimga cha Channel 10, Bw. Ezekiel Mwamboko. Aliyemshikia kipaza sauti ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,, Balozi Mindi Kasiga.
|