Siku ya pili na ya mwisho ya mafunzo kwa Wahariri wa Redio za mikoani yanayofanyika mjini Iringa kuwajengea uwezo ili waweze kushiriki kuwaelimisha na kuwahamasisha Wananchi ili waweze kushiriki Sensa ya Watu na Makazi Agosti 23, 2022.Matukio katika picha siku ya pili na ya mwisho ya mafunzo kwa Wahariri wa Redio za mikoani yanayofanyika mjini Iringa kuwajengea uwezo ili waweze kushiriki kuwaelimisha na kuwahamasisha Wananchi ili waweze kushiriki Sensa ya Watu na Makazi Agosti 23, 2022.Mafunzo hayo yalianza Juni 21, 2022 na yanahitimishwa leo Juni 22, 2022.