Baadhi ya watumishi wa wakala wa huduma za misitu Tanzania(TFS)Wilayani Tunduru wakimsikiliza Meneja wa TFS Dennis Mwangama(hayupo pichani)alipokuwa akitoa taarifa ya makabidhiano ya mizinga ya nyuki kwa viongozi wa serikali ya kijiji cha Mbati wilayani kwa ajili ya kukabiliana na Tembo wanavamia makazi ya watu na mashamba.
Meneja wa TFS Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Dennis Mwanga aizungumza na wakazi wa kijiji cha Mbati wakati wa makabidhiano ya mizinga itakayotumika kuzuia wanyama wakali na waharibifu hususani Tembo kwenda kwenye makazi ya watu,kuvamia mashamba na kula mazao.
Mkazi wa kijiji cha Mbati Abdala Ahmadi(Majura)akizungumza wakati wa makabidhiano ya mizinga ya nyuki iliyotolewa na TFS Wilaya ya Tunduru kwa ajili ya kuzuia Tembo kuingia mashambani.
Mfanyakazi wa wakala wa huduma za misitu Tanzania(TFS) Wilayani Tunduru Alfred Mgagula akitoa elimu juu ya matumizi ya mizinga ya nyuki iliyotolewa na TFS kama njia mojawapo ya kukabiliana na wanyama wakali na waharibifu wanaovamia mashamba na kula mazao.
Mwenyekiti wa Serikali ya kijiji cha Mbati wilayani Tunduru Athuman Mtila kushoto,akipokea hati ya makabidhiano ya mzinga ya nyuki kutoka kwa Meneja wa Wakala wa huduma za misitu Tanzania(TFS)Wilayani humo Dennis Mwangama.
Kaimu Afisa nyuki wa wilaya ya Tunduru Micheal William kulia na mfanyakazi wa wakala wa huduma za misitu Tanzania wilaya humo Angela Mhilu wakiandaa mizinga ya nyuki kwa ajili ya kufunga kwenye mapito(njia)ya Tembo wanaokwenda kwenye makazi ya watu na mashamba.
Baadhi ya wataalam wa misitu kutoka wakala wa huduma za misitu Tanzania(TFS)Wilaya ya Tunduru wakipandisha mizinga ya nyuki kwenye mti kwa ajili ya kuzuia Tembo kwenda kwenye makazi ya watu.
…………………
Tunduru
WAKALA wa huduma za misitu Tan
Akizungumza wakati wa makabidh
Alisema utafiti uliofanyika um
“kwa kawaida Tembo wanapopita
Mwangama alisema, mizinga hiyo
Aidha alisema,TFS itaendelea k
Amewaomba wananchi wa kijiji h
Alisema,mizinga hiyo ni mali y
Kaimu Afisa Nyuki wa Halmashau
Alisema,mizinga hiyo itaongeza
Michael alieleza kuwa,mizinga
Amewaomba wadau wengine wa sek
Afisa Mtendaji wa kijiji cha M
Kwa mujibu wa Mkondya ni kwamb
Alitaja mazao yaliyoshambuliwa
Pia alisema kuwa,wanyama hao w
Mkazi wa kijiji hicho Mussa Ab
Alisema,wanyama hao wamesababi
MWISHO.