Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ndugu Daniel Chongolo akivishwa skafu na vijana wa UVCCM mara baada ya kuwasili katika kata ya Isanga Njiapanda Malampaka Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu akitokea wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga , Chongolo yuko katika ziara ya kikazi ya siku 9 kukagua uhai. Wa Chama na Miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali kupitia Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ndugu Daniel Chongolo akizungumza mara baada ya kuwasili katika kata ya Isanga Njiapanda Malampaka Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu akitokea wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga , Chongolo yuko katika ziara ya kikazi ya siku 9 kukagua uhai. Wa Chama na Miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali kupitia Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 kulia ni Kanali Ngemela Lubinga Katibu wa NEC Siasa na Ushirikiano wa kimataifa CCM na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu Bi.Shmsa Mohammed
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ndugu Daniel Chongolo akizungumza mara baada ya kuwasili katika kata ya Isanga Njiapanda Malampaka Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu akitokea wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga , Chongolo yuko katika ziara ya kikazi ya siku 9 kukagua uhai. Wa Chama na Miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali kupitia Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 kutoka kulia ni Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Bi. Sophia Mjema , Mkuu wa mkoa wa Simiyu David Kafulila na katikati ni Kanali Ngemela Lubinga Katibu wa NEC Siasa na Ushirikiano wa kimataifa CCM.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na viongozi mbalimbali baada ya kuwasili katika kata ya Isanga Njiapanda Malampaka Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu akitokea wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga , kushoto ni Shamsa Mohammed’ Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na viongozi mbalimbali baada ya kuwasili katika kata ya Isanga Njiapanda Malampaka Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu akitokea wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga , kushoto ni Shamsa Mohammed’ Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu.
Kikundi Cha Ngoma kikitumbuiza katika mapokezi hayo.