Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo (kulia)akimuangalia Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ndugu Ngemela Lubinga akijaribu kufanya mazoezi na kifaa maalumu cha kisasa katika kitengo cha tiba za mazoezi fiziotherapia katika jengo la wagonjwa wa nje (OPD) katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama.
(PICHA JOHN BUKUKU NA ADAM MZEE – KAHAMA)
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akikagua jengo la wagonjwa wa nje (OPD) katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama.
Jengo la wagonjwa wa nje (OPD) katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama linavyoonekana.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo (katikati)akiangalia tumbaku katika ghala la Chama Kikuu cha Ushirika cha Kahama (KACU).
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo (katikati)akizungumza na wafanyakazi na viongozi wa katika ghala la Chama Kikuu cha Ushirika cha Kahama (KACU)
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia wakati wa shina namba 1, Tawi la Mayila Kata ya Nyehongwe, Kahama mkoani Shinyanga linaloongozwa na Mwenyekiti Ndugu Jumanne Maalam.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akipata maelezo ya kiwanda cha Kom Food Products co. ltd kutoka kwa msanifu wa majengo Ndugu Yusuph Daudi (kulia) wakati alipotembelea kiwanda hicho kikubwa kilichopo Kahama mkoani Shinyanga.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akikagua ujenzi wa kiwanda cha Kom Food Products co. ltd huku akiongozana na Mbunge wa jimbo la Kahama Mh. Jumanne Kishimba wakati alipotembelea kiwanda hicho kikubwa kilichopo Kahama mkoani Shinyanga.
Majengo ya Kiwanda cha Kom Food Products co. ltd yanavyoonekana.