Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akitoa maelekezo Kwa Dk Nicodemus Senguo Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu mkoani Shinyanga wakati alipokagua ujenzi wa majengo mapya ya hospitali ya wilaya hiyo inayojengwa katika Kijiji Cha Mtonga kata ya Nyamilangano kulia ni Kanali Lubinga Ngemela Katibu wa NEC Saiasa na Ushirikiano wa Kimataifa CCM.
(PICHA NA JOHN BUKUKU -USHETU)
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akipata maelekezo kutoka kwa Dk. Nicodemus Senguo Mganga Mkuu wa Halmashauri ya. Wilaya ya Ushetu mkoani Shinyanga wakati alipokagua ujenzi wa majengo mapya ya hospitali ya wilaya hiyo kulia ni Kanali Lubinga Ngemela Katibu wa NEC Saiasa na Ushirikiano wa Kimataifa CCM.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiongozana na Dk Nicodemus Senguo Mganga Mkuu wa Halmashauri ya. Wilaya ya Ushetu mkoani Shinyanga wakati alipokagua ujenzi wa majengo mapya ya hospitali ya wilaya hiyo kulia ni Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani.
Moja ya jengo la hospitli hiyo likiwa katika hatua mbalimbali za ujenzi.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo kimsikiliza Kanali Lubinga Ngemela Katibu wa NEC Saiasa na Ushirikiano wa Kimataifa CCM wakati akitoa maoni yake katika ukaguzi wa ujenzi wa hospitali hiyo.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akimsikiliza Kwa makini Dk.Nicodemus Senguo Mganga Mkuu wa Halmashauri ya wilaya ya Ushetu hapa akifafanua jambo Kwa Kiongozi huyo.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akifanya ukaguzi wa ujenzi wa jengo la utawala katika hospitali hiyo.
Baadhi ya wananchi wa Kijiji Cha Mitonga kata ya Nyamlingano Ushetu wakimakaribisha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo ili kuzungumza nao mara baada ya kukagua ujenzi huo
Picha mbalimbali zikionesha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akikagua ujenzi wa jengo la utawala katika hospitali hiyo.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akzungumxa na msaidizi wake Bw. Saleh Mhando mara baada ya kufanya ukaguzi wa ujenzi wa jengo la utawala katika hospitali hiyo.
Baadhi ya wananchi wa Kijiji Cha Mitonga kata ya Nyamlingano Ushetu wakimakaribisha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo ili kuzungumza nao mara baada ya kukagua ujenzi huo
Wannachi wa kijiji cha Mtonga kata ya Nyamlingano wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo iwkaati akizungumza nao mara baada ya kukagua ujenzi huo
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na wananchi wa Kijiji Cha Mitonga baada ya kukagua ujenzi wa jengo la utawala katika hospitali hiyo.
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Sophia Mjema akizungumza na wananchi wa Kijiji hicho katika mkutano wa Shina namba 6 ambali lilitembelewa na katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na wananchi wa Kijiji Cha Mitonga baada ya kukagua ujenzi wa jengo la utawala katika hospitali hiyo
Kanali Ngemela Lubinga Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM akifafanua baadhi ya mambo katika kikao hicho.
…………………………………….
Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo ameitaka Bohari ya Dawa (MSD) kufanikisha upelekaji wa vifaatiba katika Hospitali ya Wilaya ya Ushetu ili ianze kutoa huduma.
Chongolo ameyasema hayo leo, Mei 28, 2022 wakati akikagua jengo la Hospitali ya Wilaya ya Ushetu wakati wa ziara yake katika Mikoa ya Shinyanga na Simiyu
Katika maelekezo yake Chongolo amesema pamoja na Sh48 milioni zilizolipwa kwa MSD kupeleka vifaa hivyo, pia kuna mgao wa vifaatiba kutoka Serikali kuu akihoji nini kinachelewesha kupeleka vifaatiba hivyo.
“Nimesema nitakachofanya nitazungumza na Waziri wa Afya (Ummy Mwalimu), lakini nimemuelekeza Mkuu wa Mkoa (Sophia Mjema) kumtafuta muhusika wa MSD eneo hili ili kesho (leo) nikutane naye.
Amesema mazungumzo yake na mamlaka hiyo yanalenga kupata jawabu la hatua za haraka zitakazochukuliwa na bohari hiyo kuhakikisha vifaatiba vinapatikana katika Hospitali hiyo.
Ujenzi wa hospitali hiyo umetetekelezwa Kwa awamu tatu na ulianza Januari 2019 ambapo serikali imepeleka fedha jumla ya shilingi bilioni 3.1 Kwa ajili ya kukamilisha.