Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndg. Daniel Chongolo akisalimiana na Gasper Kileo MNEC was mkoa wa Shinyanga wakati alipowasili kwenye ofisi za CCM mkoa mjini Shinnyanga Kwa ziara siku ya siku 9 za kukagua uhai wa chama na miradi ya Maendeleo inayotekelezwa kupiitia ilani ya CCM ya 2020- 2025, katikati ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Ndugu Mabala Mlolwa
(PICHA NA JOHN BUKUKU-SHINYANGA)
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndg. Daniel Chongolo akisalimiana na Sophia Mjema mkuu wa mkoa wa Shinyanga wakati alipowasili kwenye ofisi za CCM mkoa mjini Shinnyanga Kwa ziara ya siku 9 za kukagua uhai wa chama na miradi ya Maendeleo inayotekelezwa kupiitia ilani ya CCM ya 2020- 2025, katikati ni MNEC wa CCM mkoa wa Shinganya Ndugu Gasper Kileo
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndg. Daniel Chongolo akipokea gwaride la heshoma kutoka Kwa vijana was UVCCM mkos wa Shinyanga wakati alipowasili kwenye ofisi za CCM mkoa mjini Shinnyanga Kwa ziara ya siku 9 za kukagua uhai wa chama na miradi ya Maendeleo inayotekelezwa kupiitia ilani ya CCM ya 2020- 2025, kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Mabala Mlolwa.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndg. Daniel Chongolo akipokea gwaride la heshoma kutoka Kwa vijana wa UVCCM mkoa wa Shinyanga wakati alipowasili kwenye ofisi za CCM mkoa mjini Shinnyanga Kwa ziara ya siku 9 za kukagua uhai wa chama na miradi ya Maendeleo inayotekelezwa kupiitia ilani ya CCM ya 2020- 2025, kulia ni Katibu wa NEC Uhusiano wa Kimataifa CCM Kanali Ngemela Lubings na katikati Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Ndugu Mabala Mlolwa.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndg. Daniel Chongolo akivishwa skafu na vijana wa UVCCM mkoa wa Shinyanga wakati alipowasili kwenye ofisi za CCM mkoa mjini Shinnyanga Kwa ziara ya siku 9 za kukagua uhai wa chama na miradi ya Maendeleo inayotekelezwa kupiitia ilani ya CCM ya 2020- 2025, kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Mabala Mlolwa.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndg. Daniel Chongolo akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Shinyanga wakati alipowasili kwenye ofisi za CCM mkoa mjini Shinnyanga Kwa ziara siku ya siku 9 za kukagua uhai wa chama na miradi ya Maendeleo inayotekelezwa kupiitia ilani ya CCM ya 2020- 2025, kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Mabala Mlolwa.
………………………………………
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amewaagiza viongozi wa chama hicho wanaowania uongozi katika uchaguzi wa ndani, kukaa pembeni na wateuliwe wengine kushiriki vikao vya maamuzi.
Chongolo ametoa kauli hiyo leo, Mei 27, 2022 wakati akisalimia wana-CCM Mkoa wa Shinyanga, alipofika kwa ziara ya kikazi inayolenga kuimarisha Chama, kuwasalimu wanachama na kukagua miradi ya maendeleo.
Amesema kufanya hivyo, kutaepusha ujanja ujanja wa kunyimana fomu na kuteuliwa kwa wagombea wasio na sifa.
Kuanzia leo nchi nzima, mahali ambapo pana kiongozi anayegombea, kiongozi huyo atakaa pembeni asishiriki kikao cha maamuzi ili awatendee haki wenziwe na wenziwe wamtendee haki yeye,” amesema.
Katibu Mkuu was CCM Ndugu Daniel Chongolo ameanza ziara ya siku 9 katika mikoa ya Shinaynga na Simiyu Kwa ajili ya kukagua uhai wa Chama hasa kipindi hiki ambacho chama kinafanya ucaguzi wa ndani lakini pia kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali kupitia ilani ya uchaguzi ya 2022-2025.