Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Mikocheni Jijini Dar es Salaam.
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA JAJI WARIOBA
By Alex Sonna
May 9, 2022 | 10:02 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
2 hours ago
WAHITIMU 450 WA KLABU YA KUPINGA RUSHWA TEMEKE WATUNUKIWA VYETI.
Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kigamboni Bibiana Bundala, (kushoto) akitoa vyeti kwa wahitimu ya mafunzo ya kupinga…
Mchanganyiko
4 hours ago
WASHAURI WA WANAFUNZI WATAKIWA KUENDANA NA MABADILIKO YA KIDIJITALI
Na Oscar Assenga,TANGA SERIKALI imekipongeza Chama cha Washauri wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Tanzania (TACOGA) kwa kuendelea kuandaa mafunzo yanayolenga kuimarisha uwezo wa kitaaluma…



