Shirikisho la soka barani Afrika CAF limeiruhusu klabu ya kuingiza mashabiki Elfu 60 katika mchezo wetu wa robo fainali ya kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Orlando Pirates
Mchezo dhidi ya Orlando utachezwa saa 1:00 Usiku na tiketi za mchezo huo zimeanzwa kuuzwa kwa njia ya Mtandao
CAF imeiruhusu Simba kufuatia kuingiza mashabiki Elfu 60 kufuatia maombi kadhaa ambayo yalifanywa na klabu hiyo kuomba kuongezewa idadi kutoka Elfu 35 hadi Elfu 60