Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Taifa (NEC) Mkoa wa Iringa Ndugu Salim Abri Asas akisalimiana na Balozi Liberata Mulamula Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye Ukimbi wa Jakaya Kikwete Convetion Center jijini Dodoma ambako leo kunafanyika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM ambao pamoja na mambo mengine Utampigia kura Ndugu Abdulrahman Kinana kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM bara baada ya Mzee Philip Mangula Kung’atuka katikati ni mjumbe wa Mkutano mkuu kutoka Mkoani Iringa Ndugu William Lukuvi.
(PICHA NA JOHN BUKUKU-DODOMA)
Mjumbe wa Mkutano mkuu kutoka Mkoani Iringa Ndugu William Lukuvi, NEC wa Mkoa wa Iringa Ndugu Salim Abri Asas akisalimiana na Balozi Liberata Mulamula Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kwa mkutano huo.
Mjumbe wa Mkutano mkuu kutoka Mkoani Iringa Ndugu William Lukuvi na NEC wa Mkoa wa Iringa Ndugu Salim Abri Asas wakijadiliana jambo katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida Alhajj Juma Killimbah akijadiliana jambo na mmoja wa wajumbe wa mkutano huo.
Baadhi ya Picha zikionesha wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM kutoka mkoa wa Singida wakijadiliana mambo kadhaa kabla ya kuanza kwa mkutano huo.
Bw. Josph Kusaga Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Limited ni mmoja wa wageni waalikwa kutoka taasisi mbalimbali waliohudhuria ili kushuhudia mkutano huo.
Watangazaji wa Uhuru FM wakiwa Kasini kutokakulia ni Sakina Masoud, Steven Muhina na Mariam Mziwanda wakitekeleza majukumu yao.
Bw. Josph Kusaga Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Limited ni mmoja wa wageni waalikwa kutoka taasisi mbalimbali waliohudhuria ili kushuhudia mkutano huo akiwa pamoja na waalikwa wengine kutoka katika taasisi.
Mkuu wa mkoa wa Arusha Bw. John Mongela, Mkuu wa Mkoa wa Pwani Bw. Abubakari Kunenge na Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja wakiwa katika mkutano huo.
Wajumbe mbalimbali wa mkutano Mkuu wa CCM wakiingia kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetion Center tayari kwa kushiriki mkutano huo unaofanyika jijini Dodoma.