RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ambae pia na Mwenyekiti wa Taasisi ya ( GWPSA ), alipofia Ikulu Jijini Zanzibar, kwa mazungumzo na kutoa maelezo kuhusiana na mkutano wa Uwekezaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika, unaotarajiwa kufanyika kesho 11-3-2022, katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Mkoa wa Kaskazini Unguja na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Rais Mstaaf wa Tanzania ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya (GWPSA) Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kutowa maelezo ya Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika, unaotarajiwa kufanyika kesho 11-3-2022 katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Mkoa wa Kaskazini Unguja na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Rais Mstaaf wa Tanzania ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya (GWSPA) Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)