Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na Viongozi Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) Januari 25, 2022, Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (katikati) akiimba pamoja na Viongozi Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) wimbo wa Mshikamano wa Wafanyakazi “Solidarity Forever” wakati wa ziara yake hiyo aliyoifanya Jijini Dar es Salaam, Januari 25, 2022.
Sehemu ya Viongozi Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (hayupo pichani).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (aliyekaa katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA). Kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi.
PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU