Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiongozana na Mkurugenzi wa Shirika la Watumishi Housing Company Limited, Dkt. Fred Msemwa alipowasili katika ofizi za shirika hilo zilizopo Posta jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumza na wafanyakazi wa shirika hilo na wakati kutembelea mradi wa nyumba za bei nafuu zilizoko Gezaulole Kigamboni leo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika ofisi za shirika hilo zilizopo Posta jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumza na wafanyakazi wa shirika hilo na wakati kutembelea mradi wa nyumba za bei nafuu zilizoko Gezaulole Kigamboni leo. kulia ni Mkurugenzi wa Shirika la Watumishi Housing Company Limited, Dkt. Fred Msemwa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama katikati akimsikiliza Mkurugenzi wa Shirika la Watumishi Housing Company Limited, Dkt. Fred Msemwa wakati alipokuwa akiwasilisha mpango wa maendeleo ya ujenzi wa nyumba wa shirika.
Baadhi ya watumishi wa shirika hilo wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama hayupo pichani wakati alipokuwa akizungumza nao.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na wafanyakazi wa shirika la Watumishi Housing Company limited wakati alipokagua mradi wa Gezaulole Kigamboni leo.
Picha mbalimbali zikionesha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Bi. Fatma Nyangasa na Mkurugenzi wa Shirika la Watumishi Housing Company Limited, Dkt. Fred Msemwa wakati akikaga mradi wa ujenzi wa nyumba nafuu kwa ajili ya kuwauzia watumishi uliopo Gezaulole Kigamboni leo.
Muonekano wa Baadhi ya wamjengo yaliyopo katika mradi huo.
Baadhi ya wafanyakazi wa shirika hilo wakiwa wameambatana pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagamawakatialipofanyaziarakatika mradi huo uliopo kigamboni jijini Dar es salaam leo.
aziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Bi. Fatma Nyangasa wakiangalia moja ya vyumba vya nyumba hizo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Bi. Fatma Nyangasa na Mkurugenzi wa Shirika la Watumishi Housing Company Limited, Dkt. Fred Msemwa wakizungumza na mzazi wa mmoja wa wananchi wanaomiliki nyumba katika mradi huo wakati wakikagua mradi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Bi. Fatma Nyangasa wakati akielezea namna wilaya hiyo inavyoshirikiana na Watumishi Housing Company Limited ili kuondoa changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wanaoishi katika nyumba hizo kushoto ni Mkurugenzi wa Shirika la Watumishi Housing Company, Dkt. Fred Msemwa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akitoa maagizo kwa Mkurugenzi wa Shirika la Watumishi Housing Company Limited Limited, Dkt. Fred Msemwa Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Bi. Fatma Nyangasa na watumishi wa shirika hilo mara baada ya kukagua mradi huo leo.
Baadhi ya watumishi wakimsikiliza waziri wakati alipokuwa akizungumza nao katika eneo la mradi Gezaulole Kigamboni.