Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Prof. Florens Luoga, wakikagua eneo linalotarajiwa kujengwa Tawi jipya la BoT, Mkoani Kigoma, baada ya kufanya kikao kifupi kutathmini mwenendo wa sekta ya fedha ya Mkoa huo.