Mkuu wa Biashara ya Fedha na Suluhu za Usimamizi, Bw Khalifa Zidadu (katikati), Kaimu Mkuu wa Huduma za Wateja Binafsi na Bima wa Benki ya NCBA Tanzania (kulia), Bw Rahim Kanji, Meneja wa Tawi la Amani Place Benki ya NCBA Tanzania (kushoto) na Bi Neema kutoka Bodi ya Michezo na kubahatisha Tanzania (Kushoto) wakiongea wakati wa droo ya mwisho ya shindano la ‘Shindo la Akiba’.
BENKI YA NCBA YAHITIMISHA BAHATI NASIBU YA ‘SHINDO LA AKIBA’
