BODI ya Ligi Kuu Tanzania ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) imefanya marekebisho mengine madogo ya ratiba ya Ligi Kuu kwa mechi kadhaa za katikati ya Januari.