2021
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Mloganzila yazindua kitabu cha utambuzi wa tatizo kwa mgonjwa
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt.Thecla Kohi akizungumza katika uzinduzi wa kitabu cha muuguzi cha utambuzi wa tatizo kwa…
MKUTANO WA 40 WA KAWAIDA WA BARAZA LA MAWAZIRI WA AFRIKA MASHARIKI WAENDELEA KUFANYIKA JIJINI ARUSHA
Mkurugenzi wa Siasa, Ulinzi na Usalama kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Kiongozi wa Ujumbe wa Tanzania Balozi…
DKT. MPANGO: HOSPITALI ZETU ZINA VIFAA VYA KISASA NA WATAALAM WA KUTOSHA KUTOA HUDUMA
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isidor Mpango (katikati) akitoka katika Hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma, alipokuwa akipatiwa matibabu ambapo aliwataka…
SIMBACHAWENE -WANANCHI WOTE KUPATA VITAMBULISHO VYA NIDA IFIKAPO JULAI, MITAMBO MIPYA INAENDELEA KUCHAPA KAZI KWA KASI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) baada ya kutembelea Kituo cha Kanzidata cha Mamlaka…
FAINALI NMB MASTABATA WIKI IJAYO, 424 WAZOA ZAWADI
………………………………………………………………………………. NA MWANDISHI WETU KUELEKEA droo kuu ‘Grand Finale’ ya Kampeni ya NMB MastaBATA, Benki ya NMB imewataka wateja wake kuongeza kasi ya matumizi…
SIMBA SC YANG’ARA UWANJA WA MKAPA YAICHAPA 1-0 AL AHLY YA MISRI LIGI YA MABINGWA AFRIKA
……………………………………………………………………… Na.Alex Sonna Wawakilishi pekee ukanda wa Afrika Mashariki na Kati Timu ya Simba imezidi kujichimbia kileleni mwa Msimamo wa Kundi A wa Michuano…
NJOONI MUWEKEZE SINGIDA UMEME UPO WA KUTOSHA-NAIBU WAZIRI BYABATO
Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato(kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Rehema Nchimbi (pili kushoto) wakibadilishana mawazo na uongozi wa Mkoa huo,…
Viongozi wa Chama cha Demokrasia Makini Wajengewa Uwezo Ujazaji Fomu Marejesho ya Gharama za Uchaguzi
Mkuu wa Sehemu ya Usajili wa Vyama vya Siasa toka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) na Mwenyekiti wa mafunzo, Bw. Muhidin…
BILLIONEA WA MADINI YA RUBY AISHUKURU SERIKALI
NA NAMNYAK KIVUYO, ARUSHA. Billionea wa madini ya Ruby,Gabriel Sendeu Laizer anayefanya shughuli zake za uchimbaji kata ya Mundarara Wilayani Longido ameishukuru ameishukuru serikali…